Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, May 8, 2011

VODACOM TANZANIA YAJA NA DSTV MOBILE



Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dares Salaam Said Meck Said akiongea wakati wa hafla ya uzinduzi wa huduma ya Dstv Mobile,huduma hiyo inapatikana kwa wateja wa Vodacom Tanzania kwa kupitia simu za mkononi zenye 3G,ambapo Vodacom na Dstv wameshirikiana kutoa huduma hiyo,kushoto Meneja Mkuu wa Dstv Felix Kyengo,Ofisa Mkuu wa kitengo cha uendeshaji wa Vodacom Tanzania Peter Corriea.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dares Salaam Said Meck Said kushoto,Ofisa Mkuu wa kitengo cha uendeshaji wa Vodacom Tanzania Peter Corriea,wakimsikiliza Meneja Mkuu wa DSTV Felix Kyengo akisoma hotuba wakati wa uzinduzi wa huduma ya DSTV Mobile kwa wateja wa Vodacom Tanzania inayopatikana kwenye simu za kiganjani zenye 3G, huduma hiyo inatolewa na Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na Dstv.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dares Salaam Said Meck Said(katikati)akionyeshwa na Mkuu wakitengo cha huduma za mtandao wa mawasiliano wa kimataifa wa Vodacom Tanzania jinsi huduma ya DSTV Mobile inavyopatikana kwenye simu za kiganjani zenye 3G za wateja wa kampuni hiyo kabla ya kuzindua rasmi huduma hiyo inayotolewa na Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na DSTV, kulia Mkuu wa kitengo cha uendeshaji wa Vodacom Tanzania Peter Corriea.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dares Salaam Said Meck Said wa pili toka kushoto akijadiliana jambo na Meneja Mkuu wa DSTV Felix Kyengo wakati wa uzinduzi wa huduma ya DSTV Mobile kwa wateja wa Vodacom Tanzania inayopatikana kwenye simu za kiganjani zenye 3G, kulia Ofisa Mkuu wa kitengo cha uendeshaji wa Vodacom Tanzania Peter Corriea na Mkuu wakitengo cha huduma za mtandao wa mawasiliano wa kimataifa wa Vodacom Tanzania Candice Rato.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dares Salaam Said Meck Said wa pili toka kushoto, Meneja Mkuu wa DSTV Felix Kyengo, Ofisa Mkuu wa kitengo cha uendeshaji wa Vodacom Tanzania Peter Corriea,wakionyesha simu zao jinsi huduma ya DSTV Mobile inavyofanya kazi mara baada ya Kaimu mkuu wa mkoa wa Dares Salaam kuizindua huduma hiyo rasmi inayopatikana kwa wateja wa Vodacom Tanzania kwa kupitia simu za kiganjani zenye 3G,huduma hiyo inatolewa na Vodacom kwa kushirikiana na Dstv.
Mkurugenzi Mkuu wa Frontline Porter Novelli Irene Kiwia na Meneja wa mambo ya nje wa Vodacom Tanzania Nector Foya wakijadiliana jambo na Meneja Mawasiliano wa DSTV Maiyo Simapungula wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma ya DSTV Mobile kwa wateja wa Vodacom Tanzania inayopatikana kwenye simu za kiganjani zenye 3G,huduma hiyo inatolewa na Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na DSTV.

No comments: