Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, May 15, 2011

UNAZIKUMBUKA ENZI HIZI?

Unazikumbuka enzi hizi za dawati mgongo,yaani kama umesahau notisi fulani hata ukiwa mstarini unamuomba mwenzio apindishe mgongo ili uweke vizuri notisi zako kama wanavyoonekana wanafunzi hawa wa shule ya Sekondari Wiza iliyopo wilayani Mbozi,Mbeya

No comments: