NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA WAANDISHI WA HABARI MBEYA
President wa wanahabari Kenethy Simbaya akimpa darasa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo alipoamua kukutana na wanahabari wa mkoa wa Mbeya kutoa shukrani zake juu ya mchango wa wanahabari katika kufanikisha uchaguzi mkuu uliopita, Mulugo pia ni Mbunge wa jimbo la Songwe Chunya.
Naye Mwenyekiti wa Mbeya press club Christopher Nyenyembe,hakuwa nyuma kutoa nasaha zake kwa Naibu Waziri wa elimu na mafunzo ya Ufundi Bw.Philipo Mulugo akimkumbusha wajibu wake wa kuwa karibu na wanahabari katika kusukuma maendeleo ya mkoa wa Mbeya na Taifa kikao hicho kilichoitishwa na Naibu Waziri kilifanyika katika Hotel ya Paradise jijini Mbeya jana usiku.
No comments:
Post a Comment