![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjqWo0RLIRxQRggDXqD_D4tpzqc1Cv-qhu7PagsuiJF6kAt-w9gwkHiK52BWucrMNXDfwrvZ3dnw8TFDNKwnNtw4jyejTVRnruNlc4xI239piX1Ms3PQYQMMM8WrhFEF4Ka7Co5-zYkodfD/s400/pICHA+NO+6.jpg)
Mkuu wa wilaya ya Musoma Kepteni Mstaafu Jeofrey Ngatuni akipiga ngoma kuashiria uzinduzi wa Siku ya Utamaduni Duaniani ambayo kitaifa inaadhimishwa katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj0jm0mF1WFrkpEMFOEj1Ar8kjyf-Km-WxjS6tNJKJ4UZL20nLsiAU5T8FHb0ZlX7V585uiN1wBtn41sVXJ3-XTeprMZkEpg4T2ZX0taAcKkToUJ73sd-gvAHD1Jk43a24ZfejvnGZ_tI0X/s400/Picha+no+4.jpg)
Mtaalam wa tiba za asili na tiba mbadala kutoka Mwanza Bw. Musa Chacha akitoa maelezo ya namna dawa zake zinavyofanya kazi kwa mkuu wa wilaya ya Musoma Kepteni Mstaafu Jeofrey Ngatuni (katikati) alipotembelea mabanda ya maonyesho wakati wa Siku ya Utamaduni Duniani ambayo kitaifa inaadhimishwa mkoani Mara.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhujN3OIAqDv9PbbNLx2Bz8n7yxrBeaoSuIyBxbae5-FnkB7NyJ7KO3JQk_omyV_mdwS5Rb_IZYCckDa1ohKiED_ABxwAH2EMEHn4C0HS8TBz5YYQgTfIHko3PQTn6coLSPBHFIgcbxLcz7/s400/Picha+no+5.jpg)
Mzee Fabiano Rugula mwenye umri wa miaka 97 kutoka katika kikundi cha Jeramoro Rorya akitoa burudani kwa wananchi waliojitokeza kusherehekea siku ya utamaduni Duniani ambayo kitaifa inaadhimishwa katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiK6f8rdjN-AN4RUO0zJtY-W50UUyDe3jRrIwWLIUvFB30KdE69tDj5Hvy2td8gMcQpCTY0QQxccHEF0q5lfFz2WARBuZJ8hMW3in5Vhyphenhyphengt6z6xkVqWPo18i9NuNKlX3EX92qEzQ_7K_7BO/s400/Picha+no+2.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh0YeHXY2UASUAzRaW-a2Jt3GNOXFzuIws2jXdqtITOzVKLmph8YyeOOZxJRCHXoXzgCU8GuJ8l9rhIC5_-GzJGkol9-vuWtInt_j_p2uvtm2fcda2O_CXHd7V6m8sEaX4x9T9l5s9N-VrK/s400/Picha+no+3.jpg)
Wasanii wa vikundi mbalimbali kutoka mkoani Mara wakiingia katika uwanja wa Karume katika manispaa ya Musoma kuadhimisha siku ya Utamaduni Duniani ambayo kitaifa inaadhimishwa mkoani Mara. Picha na Aron Msigwa-MAELEZO. |
No comments:
Post a Comment