Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, May 10, 2011

Michuano ya Vodacom Muungano Cup yarindima iringa


Mwenyekiti wa Kamati ya mashindano ya Vodacom Muungano Cup, Benito Malangalila, (Mbunge Mstaafu wa Mufindi Kusini) akimkabidhi Rais wa TFF Leodegar Tenga, zawadi ya mfano wa kombe, baada ya Tenga kuyazindua mashindano hayo.

Rais wa TFF Leodegar Tenga akiteta jambo na mkurugenzi wa Vodacom Nyanda za Juu Kusini, Jackson Kiswaga, kabla ya kuanza kwa mashindano ya Vodacom Muungano Cup Mufindi Mkoani Iringa. Kulia ni Mwakilishi wa Chai Bora Absalum Kinanga.

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) Leodegar Tenga akiikagua timu ya Mucoba ya mjini Mufundi kabla ya kuanza kwa mashindano ya Vodacom Tanzania Muungano Cup. Mshindano hayo yanaendelea mjini Iringa.Timu hiyo ilicheza na timu ya Youngstar ya Iruinga mjini, katika mechi hiyo timu ya Mucoba iliishinda Youngstar kwa 2-1.

No comments: