Kamera ya Mbeya Yetu ilikutana na hawa jamaa ambao wamebeba mzigo ambao umezidi kiwango cha chombo chao cha usafiri jambo ambalo linaweza kuhatarisha usalama wa maisha yao.
Hii ndio hali halisi ya jamaa walipo kuwa wakikata Mbuga maeneo ya Mwenge huku wamejaza shehena ya Magodoro.
Hawa ndio jamaa wenyewe wakiwa wamejipinda na Kuongoza chombo chao cha usafiri katika mazingira hatarishi.
Swali: Je watu wanaohusika na usalama wa Barabarani wako wapi? Hawakuwaona hawa Jamaaa na lumbesa yao hiyo?
No comments:
Post a Comment