Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, May 16, 2011

DKT. BILAL KATIKA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO PEMBA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akifunua kitambaa ikiwa ni ishara ya kuweka jiwe la Msingi katika Ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya Tawi la Mtambile iliyopo Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba leo Mei 16, wakati akiwa katika ziara yake ya kukagua miradi ya Maendeleo katika Mikoa ya Kusini na Kaskazini Pemba...


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba, baada ya kuweka jiwe la Msingi katika Ofisi ya CCM Tawil la Mtambile leo Mei 16. Dkt. Bilal, yupo katika ziara ya kukagua miradi ya Maendeleo katika mikoa ya Kusini na Kaskazini Pemba. 
Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments: