Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare akimkabidhi moja kati ya madawati 300 Edina Edson ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi Mapinduzi ya Kigogo jijini Dares Salaam, shule zingine zitazonufaika na msaada huo ni Kigogo Fresh,Ilala,Bunge .wakishuhudia ni wanafunzi wenzake Mohamed Komba na Sophia Omary,Vodacom Foundation imezindua rasmi kampeni ya kugawamadawati 1000 kwa shule za msingi nchini.
Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Mapinduzi ya Kigogo jijini Dares Salaam,mara baada ya kukabidhi msaada wa madawati 300 kwenye shule za msingi za Kigogo Fresh,Ilala,Bunge,Vodacom Foundation imezindua rasmi kampeni ya kugawa madawati 1000 kwa shule za msingi nchini.
Baadhi ya wanafunzi wakiwa wanasikiliza hotuba toka kwa Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare mara alipofika katika shule ya msingi Mapinduzi kutoa msaada wa madawati 300 kwenye shule za msingi za Kigogo Fresh,Ilala,Bunge,Vodacom Foundation imezindua rasmi kampeni ya kugawa madawati 1000 kwa shule za msingi nchini.
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Mapinduzi wakiwa wamebeba moja ya dawati kati 300 mara baada ya kukabidhiwa msaada huo na Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare hayupo pichani msaada huo umezinufaisha shule za msingi za Kigogo Fresh,Ilala,Bunge,Vodacom Foundation imezindua rasmi kampeni ya kugawa madawati 1000 kwa shule za msingi nchini.
Ofisa Mkuu Mtendaji wa masoko na mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akipunga mkono kuashiria kuwaaga wanafunzi wa shule za msingi mapinduzi,Ilala,Bunge na Kigogo Fresh mara baada ya kampuni yake kukabidhi msaada wa madawati 300 kwa shule hizo, Vodacom Foundation imezindua rasmi kampeni ya kugawa madawati 1000 kwa shule za msingi nchini,makabidhiano hayo yalifanyika katika shule ya msingi Mapinduzi Kigogo Dares Salaam,katikati Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Dietlof mare,Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Mapinduzi Gerald Amani.
No comments:
Post a Comment