Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, April 8, 2011

Sakata La katiba Mpya Bungeni Dodoma

Wananchi,viongozi mbalimbali, wabunge na wadau kutoka asasi mbalimbali wakifuatilia masuala mbalimbali kuhusu mchakato wa utaratibu wa kuandika katiba mpya ya nchi ndani ya ukumbi wa Pius Msekwa  leo mjini Dodoma.
 Wakazi wa Dodoma wakiwa wamejitokeza  nje ya ukumbi wa bunge kutoa maoni yao juu ya mchakato wa kuanzishwa kwa mchakato wa utaratibu wa kuandika katiba mpya leo mjini Dodoma na kulazimisha kufungwa kwa  muda barabara kuu ya Dodoma – Dar es salaam inayopakana na ukumbi huo.
Habari kwa Hisani ya Mdau Haki Ngowi

No comments: