Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, April 8, 2011

RAIS JAKAYA AHUDHURIA KUMBUKUMBU YA KARUME ZANZIBAR JANA

Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, Spika wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho na Balozi Ali Karume wakiomba dua katika kaburi la Rais wa kwanza wa Zanzibar, marehemu mzee Abeid Amani Karume jana Mjini Unguja.(Picha na Hamad Hija,MAELEZO Zanzibar)  

Rais Jakaya Kikwete akiondoka Afisi Kuu ya CCM Zanzibar baada ya kumalizika kwa shughuli ya kisomo cha hitma ya marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar, Mzee Abeid Amani Karume jana Mjini Zanzibar(Picha na Hamad Hija,MAELEZO Zanzibar) 
Mjane wa Rais wa kwanza wa Zanzibar Abeid Amani Karume, Mama Fatma Karume akiomba dua kwenye kaburi la Rais wa kwanza wa Zanzibar, marehemu Mzee Abeid Amani Karume akiwa pamoja na mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mwanamwema Shein,(katikati) kulia ni mke wa Makamu wa pili wa Rais Zanzibar, Mama Asha Seif Idd na wa mwisho kushoto ni mke wa Balozi Ali Karume, Huda Karume(Picha na Hamad Hija,MAELEZO Zanzibar)

No comments: