Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, April 1, 2011

NDUNGU MATAZAMAJI TAZAMA PICHA HII KWA MAKINI UTABAINI KITU

Hii ndiyo hali halisi iliyojitokeza leo siku ya kumpokea Dr Kofi annan Jijini Mbeya  habari kamili
tutawaletea kesho  tunaomba majibu toka kwenu

3 comments:

B2S said...

Mimi naona zipo bendera mbili moja ya CCM na ya pili ya CUF kama sikosei.

Anonymous said...

Tupo pamoja sisiEm na chadema.
lakini sio hali halisi yaani hiyo Kofi anan aone tuu.akiondoka tuu tunaanza kusutana.

Anonymous said...

namuona dada mmoja kapiga eye visibility kwa bdani pale halafu mbona kama bendera mbili hapo? mapaambaji anahitaji kujibu kwa nini alipamba hivyo.