Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, April 1, 2011

BREAKING NEWWWWWZ... MAPOKEZI YA KOFI ANNAN YAFANA JIJINI MBEYA JIONI HIII

Dr Kofi Annan akiangalia ngoma ya asili ya kinyakyusa lighoma
Dr Annan ambaye kwa sasa  ni mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa AGRA
(Aliance For Green Revolusio in Africa) inayojihusisha na masuala ya uboreshaji
wa kilimo na utafiti katika nchi za Afrika

Akiwa mkoani mbeya atatembelea Taasisi ya ARI  UYOLE na skimu ya umwagiliaji iganjo
mbeya vijijini atatembelea Duka la pembejeo lusungo shamba la mahindi la mfano
Mbozi atatembelea shamba la mfano la soya  mbimba duka la pembejeo iyula na kuon
bidhaa mbalimbali zinazozalishwa kutokana na soya
Hiyo ni ngoma ya kinyakyusa lighoma
Watumish wa NMB MBEYA nao walikuwepo kumpokea Kofi annan
Mtoto Hansi hakuwa mbali kuyarudi mangoma ya hapo uwanjani wakati wa ujio wa Annan

No comments: