Video na Jiachie Blog
Wakati huo huo NEC Watangaza Uongozi mpya soma hapa chini
Wakati huo huo NEC Watangaza Uongozi mpya soma hapa chini
NEC,IMETANGAZA MAJINA YA VIONGOZI WAPYA NAFASI HIZO NI ILE YA KATIBU MKUU WA CHAMA AMBAYO IMECHUKULIWA NA BW. WILSON MUKAMA,WAKATI NAFASI YA NAIBU KATIBU MKUU BARA IKICHUKULIWA NA BW. ABDULRAHMAN KINANA,NAFASI YA KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI IMECHUKULIWA NA BW. NAPE NNAUYE WAKATI NAFASI YA KATIBU WA UCHUNI NA FEDHA IKICHUKULIWA NA BI. ZAKHIA MENGJI HUKU NAFASI YA KATIBU WA OGANAIZEHENI IKIENDA KWA BI. REHEMA NCHIMBI.
Na Ahmad Issa Michuzi
No comments:
Post a Comment