Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, April 2, 2011

KOFFI ANAN AFURAHISHWA NA JITIHADA ZA KILIMO MKOANI MBEYA


Mkurugenzi wa Kilimo Dr Msolla akimwongoza Mwenyekiti wa AGRA Koffi Anan kukagua shamba la mfano linalotumiwa na kikundi cha wakulima kijiji cha Lusungo  katika wilaya ya Mbeya jioni ya leo alipofanya ziara kufuatilia shughuli wanazofadhiri.

Dr Msolla akitafsiri maelezo ya wakala wa pembejeo aliyejitambulisha kwa jina la Bernad mkazi wa Lusungo wilayani Mbeya ambaye ni miongoni mwa wanufaika wa mpango wa Kuwezesha wasambazaji pembejeo vijijini kupitia CNFA ambayo inafadhiriwa na AGRA

Picha ya pamoja ni muhimu' Hapa Koffi  Anan na ujumbe wake wakiwa kwenye picha ya  pamoja katika kijiji cha Iyula wilayani Mbozi, hii ilikuwa baada ya kukagua moja ya maduka ya pembejeo kijijini hapo

Mama bila kujali amembeba mtoto , aliamua kukatika mbele ya Kofi Anan  jambo ambalo lilimvutia sana mgeni huyu  na kuamua kumtuza mtoto kwa kuvumilia jalamba la mama yake!!!


No comments: