Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, April 3, 2011

KOFFI ANNAN AMALIZA ZIARA MKOANI MBEYA

KOFI ANAN akiwa ameshikiria mhindi ambao haujapukuchuliwa ikiwa ni sehemu ya maelekeozo ya mtafiti wa kituo cha UYOLE Dr ANORD MUSHONGI ambaye ametaifiti aina mpya za mbegu ambazo zipo kwenye hatua ya mwisho tayari kwa kutangazwa
Wandishi wa habari mkoani mbeya wakiwa wametolea macho mahojiano na mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya mbegu tanzania TANSEED bwana Isaya mashauri ambaye ni mmoja wa wanufaika wa program za AGRA mfuko unaosaidiwa na Kofi Anan
Hili ni shamba la soya mojawapo ya mashamba aliyotembelea Dr Koffi Annan Uyole

No comments: