Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, April 18, 2011

Mchezaji wa Nigeria afa katika ajali Ugiriki

ALUBAYO ADEFEMI
Mchezaji wa kimataifa wa Nigeria Olubayo Adefemi, amefariki katika ajali ya gari iliyotokea leo nchini Ugiriki. Polisi wa Ugiriki wamethibitisha juu ya tukio hilo ambalo limeleta simanzi kubwa kwa mashabiki wa soka wa Nigeria waliokuwa kipenzi cha beki wao huyo.
Adefemi, aliyekuwa akikipiga katika klabu ya daraja la kwanza nchini Ugiriki ya Skoda Xanthi, amefariki dunia akiwa na umri mdogo tu wa miaka 25 kufuatia ajali iliyomtokea leo baada ya gari alilokuwa akiliendesha kumshinda alipokuwa kwenye barabara ya Egnatia

No comments: