Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, April 12, 2011

MAKAMU WA RAIS AMPONGEZA JANUARY MAKAMBA

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimpongeza Januari Yussuf Makamba kwa kuteuliwa kuwa Mjumbe wa kamati ya Sekretarieti ya CCM Taifa kwenye mkutano uliomalizika jana jioni katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma. Picha na Amour Nasor 

No comments: