Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, April 5, 2011

MADEREVA WA MAGARI MAKUBWA WAILALAMIKIA TRA TUNDUMA KUWA NDIYO CHANZO CHA FOLENI MPAKANI HAPO


Hawa watummishi humo ndani wanachagua mitumba  na wala hawana wasi kuwa ni mda wa kazi tumeomba watufungulie geti wakatuambia subirini tunakazi na tunataratibu zetu za kikazi hivyo usituingilie katika kazi zetu hiki kibanda kipo mpakani mwa tunduma na zambia Madereva wengi wamekilalamikia kibanda hiki na inasemekana nacho chanzo cha kusababisha foleni mpakani hapo Tunduma

HII NDIYO KERO YA TUNDUMA
HUU NI UPANDE WA NAKONDE ZAMBIA KUMETULIA HAKUNA FOLENI
NI FOLENI NDEFU SANA INAKARIBIA NJIA PANDA ILEJE  MPEMBA

No comments: