Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, April 5, 2011

HAPA NA PALE NA MBEYA YETU

Du kumbe huyu Bwana huwa anacheka  ni Mkuu wa Mkoa Mbeya John Mwakipesile
Je mnamkumbuka? alishawahi kuwa mkuu wa mkoa mbeya miaka ya nyuma
Mtoto atupakisye akiuza maparachichi kwa jina la kinyakyusa makatapela ili apate hela ya kununulia nguo ya shule
Ajira kwa watoto  mtoto huyu hupata malipo ya sh 100  kufikisha mzigo wa mteja wake aendako
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo

No comments: