Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, April 1, 2011

JIJINI UGANDA WAFANYA BIASHARA WAMEGOMEA LESENI MPYA YA BIASHARA

 Wafanya Biashara Jijini Kampala wamelalamikia vikali na gomea utaratibu mpya wa utoaji wa Leseni ya Biashara hata hivyo baadhi ya wananchi wamesema kuwa hili ni janga kwao. Wakiendelea kulalamika mmoja wa wafanya biashara Mkubwa Nchini hapo amesema kuwa si jambo la kufikiri, kuongeza kodi wakati nchi inakabiliwa na matatizo ya uchumi. Habari na Ripota Uganda.

No comments: