Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, April 22, 2011

Jijini Mbeya Kumekucha Mataa Kama Bongo

Maeneo ya Sinde Jijini Mbeya
Kuelekea Mjini
Nimegundua kuwa Jiji linakuwa kwa kasi kubwa sana, paka sasa madereva hawana shida mida ya usiku kwa kuwa wamepata Mkombozi wa Mataa ambayo yametandikwa kuanzia Sinde Mpaka mjini kabisa. Wahusika wa swala hili wanahitaji pongezi za nguvu.

1 comment:

zitto kiaratu said...

tanzania ni nchi ya kupendeza sana, hii picha ndiyo shahidi ukitazama nyerere alikazania kuendelezwa dsm, kama angeweka infrastructure miji mingine kama mbeya,iringa,sumbawanga nk watu wasingejazana dsm leo.kupitia hizi blog wengine tunaanza kuona urembo wa nchi.