Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, April 7, 2011

ILANI YA UWANJA WA NDEGE MBEYA NI VITUKO


SOMA KWA MAKINI ILANI HIYO NA ANGALIA KINACHOTENDEKA

Watu wanakatiza bila wasiwasi wowote na huku wafanyakazi wa kiwanja cha ndege mbeya wakiwaangalia na
baadhi ya wafanyakazi wa kiwanja hicho wakiendelea kupalilia mashamba yao ya maharage na kunde uwanjani hapo

kiwanja cha ndege mbeya kimezungukwa na mashamba ya maharage kunde na bustani ndogo ndogo

KWA WAKAZI WA MBEYA NA NA DUNIANI KWA UJUMLA JE MWAMFAHAMU ASKOFU HUYU?
 
UCHAFU KATIKATI YA JIJI LA MBEYA
Hii ni sehemu maarufu sana kwa kuosha magari ya viongozi jijini mbeya
eneo la Mbeya retco Je Halmashauri ya jiji mpo?


1 comment:

Raymond Mkandawile said...

Naitwa Raymond nipo London UK kwasasa ila ni mkazi na mzaliwa wa mbeya,nimefurahi sana kuiona hiyo picha ya huyo anayejiita askofu sikumbuki vizuri jina lake ila najua anatokea mtaani kwetu maeneo ya kwa mama John karibu na soko dogo la zamani.big up sana