Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, April 9, 2011

HUU NDIYO UJASIRIAMALI

Huu nao ni ujasiriamali kama vile mbuzi alavyo kwa urefu wa kamba yake kijana hula kwa urefu wa ubunifu wake hujilia viji miambili miatatu,hapa ni katika mji mdogo wa Vwawa wilayani Mbozi. Mbeya

No comments: