Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, April 9, 2011

BREAKING NEEWZ, WANAMUZIKI WA BENDI YA EXTRA BONGO WAPATA AJALI

Wanamuzki wa bendi ya Extra Bongo iliyo chini ya uongozi wa Kamalade Ally Choki, wamepata ajali mbaya alfajiri ya leo wakati wakitoka katika onyesho lao lililofanyika kwenye Ukumbi wa Meeda Sinza jana usiku.
Gari lililokuwa limewabeba wanamuziki hao limepata ajali hiyo maeneo ya Magomeni na baadhi ya wanamuziki wa bendi hiyo wamejeruhiwa na kukimbbizwa katika Hospitali ya Muhimbili kwa ajili ya matibabu.
Kwa hisani ya Sufiani Mafoto

No comments: