Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, March 22, 2011

Waziri Lukuvi nae Atinga Kwa Babu Loliondo,Akagua Mti wa Dawa,Apata Kikombe

 Mchungaji Mstaafu Ambilikile Masapile akimpa dawa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) William Lukuvi na Rosemary Nyerere baada ya Lukuvi kumaliza kuukagua mtu unaozalisha dawa hiyo. Lukuvi alitua Loliondo mwishoni mwa wiki iliyopita.

 Sehemu ya msururu wa magari yaliyokatiza Mto katika Kijiji cha Samunge
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Williamu Lukuvi akiwa ameshika tawi la mti aina ya Mugamuryaga ambao huchimbwa mizizi yake na kuchemshwa dawa.Pembeni ni Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro Elias Wawalali wakati alikuwa akimuonyesha mti huo.Picha na Habari na Mdau Sufiani Mafoto.

No comments: