Umeingia kwa Mama muuza na Njaa zako ukaitisha chakula kibao..kwa kuzani utakata Njaa yako
Unafika sehemu unaacha kwa kudai eti kilikua kingi sana...wakati unaagizia haukulijua hilo?...na Mama muuza ataenda waga Hicho chakula...swali Je hii ni sawa??
No comments:
Post a Comment