Kweli mwenye nguvu wewe muache tu, hata akikuvua nguo hadharani mwache tu…ndio!! si ana nguvu bwana? haijalishi kuwa uko kwenye mstari sahihi, unataka kuvunja mnyororo wa madudu na maovu au laa….so long as ana nguvu wewe mpishe tu apite zake. Ndio, huu si ndio ule ule ulimwengu wa samaki mkubwa kushiba kwa kumla mdogo? mwenye nguvu mpishe bwana, ama laa atakuvunja ubavu…..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment