Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, March 25, 2011

Makamu wa Rais Dk Gharib Bilal na Wiki ya Maji Mwanza

 Kutoka kushoto ni makamu wa rais dk Mohamed Ghaib Bilal akikagua banda la kampuni ya STUWA inayojishughulisha na uzaji wa vifaa vya uchimbaji wa visima virefu akionyeshwa kifaa cha kuchujia maji chini ya kisima na mmoja wa maafisa wa kampuni hiyo Peter Kazaura ambacho kinapatikana katika kampuni hiyo moja tu nchini katika kilele cha maonyesho ya wiki ya maji jiji Mwanza. Picha na Sheilla Sezzy-Mwanza.

No comments: