Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, March 22, 2011

JK Atembelea Wizara Ya Ujenzi

Rais Dkt.  Jakaya Kikwete (katikati) akizungumza jambo na Waziri wa Ujenzi  Dkt. John Magufuli (wa pili kutoka kushoto) na Naibu waziri wa Ujenzi Dkt. Harrison Mwakyembe (wa pili kutoka kulia) mara baada ya kukamilisha ziara yake katika wizara ya Ujenzi leo jijini Dar es salaam.
 Rais Dkt. Jakaya Kikwete akizungumza na viongozi wa Idara, Wakala na Taasisi mbalimbali  za Wizara ya Ujenzi leo jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amekemea tabia na vitendo vya baadhi ya watendaji kupokea Rushwa katika maeneo ya mizani hali inayohatarisha usalama wa barabara na kusisitiza kuwa serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya uimarishaji na ujenzi wa barabara mbalimbali nchini. (Picha:Aron Msigwa: MAELEZO)

 

No comments: