Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, March 22, 2011

ASKOFU CHEYO ASEMA: OLE WAO WANAOMPONDA BABU WA LOLIONDO

Askofu mkuu wa kanisa la Moravian nchini Alinikisa Cheyo ameonya watu wote wanaomponda babu wa Loliondo kwa madai kuwa babu huyo ameshasema kuwa yeye anaponya kwa nguvu za Mungu na iwapo mtu atainuka na kuponda ni dhahiri kuwa anashindana na Mungu kitu ambacho hakiwezekani, Askofu Alinikisa Cheyo ameyasema hayo jana jijini Mbeya kwenye wakati wa Ibada. Tangu kuibuka kwa Mc Ambilikile Mwasapile huko Loliondo kumeibua mjadala mkubwa miongoni mwa viongozi mbalimbali wa dini huku upinzani mkubwa ukitoka kwa wale wenye vituo vya maombezi ambao inatajwa wanahofia ku-loose customers kwa madai kuwa wengi sasa wanakimbilia kwa babu Loliondo kupata dawa.

No comments: