Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, November 1, 2014

SEND OFF PARTY YA AGNES PONDO YAFANA MBEYA

Agnes Pondo siku ya sherehe yake ya kuagwa kwenda kwa mumewe


Wito Mwandunga mume mtarajiwa wa Agnes Pondo wakiwa na nyuso za furaha katika sherehe  hiyo

Agnes Pondo akimkabidhi keki mume wake mtarajiwa Wito Mwandunga katika ukumbi wa mkapa jijini Mbeya

Zawadi mbalimbali zilitolewa kwa Agnes

Wageni waalikwa 


WITO NA AGNES

Agnes akiaga wakati anatoka ukumbini mkapa

Picha na Mbeya yetu

No comments: