Baadhi ya washirika wakiwa nje ya ofisi za jimbo la Moravian kujua kulikoni kutimuliwa kwa Mwenyekiti wao |
Mwenyekiti wa Mabaraza ya wazee Franky Phiri akitoa tamko kwa niaba ya wajumbe wengine mbele ya kaimu mwenyekiti wa jimbo Bwana Zacharia Schone |
Kaimu mwenyekiti wa jimbo Bwana
Zacharia Schone akijaribu kuwafafanulia jambo baraza la wazee
|
|
Na Mbeya yetu |
2 comments:
Hivi wanachogombania nn katika nyumba ya bwana? Mi sielewi kama nyie mnagombana sasa raia huku mitaani iItakuaje? Mnatia aibu sana na ni mfano mbaya sana kwa jamii.
hUYU mCHUNGAJI NDIYE MCHOCHEZI WA VURUGU NA ANLIINGIZA KANISA KWA SABABU YA PESA CHAFU MFUATILIENI ASEME UKWELI.hIZO PESA WANAZOONGWA ZINATOKA WAPI.
Post a Comment