Barabara kuu ya itokayo katikati ya jiji la Mbeya kwenda Mbalizi kupitia Mabatini Meta imeanza kuharibika mapema toka lami iwekwe takribani mwezi mmoja uliyopita hii ndiyo halisi ya barabara hiyo |
kweli hii barabara itamaliza mwei huu? |
Wahusika mpoooo |
Tayari baadhi ya maeneo ya barabara hiyo mashimo yameanza kuzibwa na tope la saruji |
Picha yenyewe inajieleza je hii ni halali? |
Matukio yote na Mbeya yetu blog |
3 comments:
Hiyo ni danganya toto kabisa na uzushi. kweli barabara hata miezi 3 haijamaliza jamani imechakaa kiasi hicho? inaumiza jamani. Halafu malalamiko kwa serikali haifanyi kazi kumbe watu wamekula hela kwa kujenga barabara kiwango cha chini namna hiyo. Sina namba ya magufuli ningemtaarifu hali hiyo. Inasikitisha mno mno.
Huwa haitakiwi kuanza matengenezo ndani ya kipindi kifupi kiasi hicho tangu kuisha matengenezo ya barabara. Nadhani tatizo ni designer wa tabaka la lami
Hakika hapa pesa ya mlipa kodi imechezewa! kwa jinsi ninavyoijua barabara hii ni heri wangeacha ilivyokuwa mara ya kwanza (kabla ya lami mpya) maana sahz ndo itakuwa kama ya changarawe kabisa. DUUUUH, AISEE MAJANGA!
Post a Comment