Tazama Jinsi Daraja hili lilivyo kaa kihatari zaidi .. Je hawa watu wanaovuka katika eneo hili hawaogopi? |
WAHUSIKA MPOOOO? ANGALIA KWA MAKINI PICHA HII JE HUYU MTOTO ATAVUKA SALAMA? Daraja hili la Hatari sana limekuwa maarufu katika eneo hilo huku zaidi ya watu 300, hulitumia kwa kuvuka , ikiwa sehemu kubwa ni wanafunzi wa shule za msingi na Sekondari. Je ukiwa kama mdau na msomaji wa Mtandao huu unalizungumziaje hili swala? Usisahau ku like page yetu ya Mbeya yetu Blog Bofya hapa Picha na Dany Tweve wa Indaba Africa |
No comments:
Post a Comment