Watu Mbalimbali wakipata Huduma katika Mfuko wa Pensheni kwa watumishi wa Umma (PSPF)
Bi. Hidaya Dodo akitoa ufafanuzi wa jambo kwa mmoja ya watumishi wa Serikali aliyetembelea katika banda hilo. wa kwanza kulia ni Bwana Erick Kato
Bi Hidaya Dodo akiendelea na Ufafanuzi wa jambo
Bwana Erick Kato akisisitiza jambo kwa watu waliotembelea Banda lao
Mmoja ya watu waliotembelea katika Banda la PSPF akiuliza jambo kutoka katika Banda la PSPF Nane nane Mbeya
Usikose kutembelea Banda la PSPF katika viwanja vya Nane nane Mbeya
No comments:
Post a Comment