WAONGOZAJI WA MAANDAMANO YA SIKU YA WAKULIMA TAIFA .. NANE NANE WAKIWA WANAELEKEA JUKWAA KUU
MBEYA YETU BLOG KUPITIA TONE MULTIMEDIA GROUP HAWAPO NYUMA WAPO WANAPITA KUONESHA JINSI WANAVYO FANYA KAZI ZAO ZA MITANDAO NA KUONESHA WANANCHI KUWA SASA DUNIA NI KIJIJI .
MAKUNDI MBALIMBALI WAKIWA WANAPITA KUELEKEA JUKWAAA KUU
CHUO KIKUUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST ) WAKIELEKEA JUKWAA KUU
WAKULIMA WAKIELEKEA KATIKA JUKWAA KUU
NMB NAO HAWAPO NYUMA KABISA WAKIWA WANAWAKIRISHA NMB CHAP CHAP
PICHA NA MBEYA YETU
No comments:
Post a Comment