Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, October 2, 2012

AJALI YA MBALIZI MBEYA KIBAKA APEWA KICHAPO NAYE AFA









UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Firauni huo ndio msemo pekee ambao naweza kuutumia katika kukujuza yaliyotokea mapema leo mchana katika ajali mbaya ya Mbalizi Mbeya Vijijini.

Wakati wengine wakiendelea kuokoa majeruhi wengine wamejikuta wakifanya tofauti na vile ilivyotegemewa pale kijana mmoja alipojitoa mhanga na kuingia katika mmojawapo wa waokoaji na kutaka kumchomolea fedha “ waswahili huita mshiko”.


Asalale kijana huyo ambaye hajafahamika jina mpaka mauti yanamkuta katika tukio hilo alikwidwa na mashuhuda wa ajali hiyo na kupewa kichapo cha mbwa mwizi wa kuku.
Hebu nisiendee mbali sana kodoa  jicho hapa

Kwa hisani ya blog ya malafyaleleo

8 comments:

Anonymous said...

Mshahara wa dhambi ni mauti,alishindwa kuokoa wenzie akashindwa hata kujiokoa mwenyewe!

Rev.Ipyana Mwangota said...

Poleni sana ndugu zangu.Pole sana Mh.Mary na Dereva Mungu awaponye na ninawaombea mpone haraka na mrejee kwa kumtumikia Mungu na wananchi.Poleni sana.Binafsi nimesikitishwa sana na madereva hawa wa malori ambao wanaendesha vyombo hivi bila kuviangalia kwa makini.Si jambo jema watanzania wengi hivi kupotea bila sababu na kuwaacha wengine vilema.Mungu atusaidie.Rev.Ipyana Mwangota.Dodoma

Anonymous said...

wasiwasi wangu ni kwa hao watoto wanajifunza nini jamani angali wakiwa wadogo? wakikuwa siwataona ndio kawaida ya kuuwana kinyama namna hiyo?

Anonymous said...

Ama kweli Dunia ina mambo!!,hakuwa na huruma kabisa,wenzake waokoa ye anaiba,Aaahh maisha gani tena?..Mwenyezi MUNGU azilaze mahala pema peponi Roho za ndugu zetu Amina.

Anonymous said...

Wezi wakome.

Anonymous said...

Kumamako zenu...akimwibia mhindi aachiwe...lakini mkiibiana nyie mbwa weusi..kumamama zenu ati mnajiua...washenzi watupu nyie vijizazi vya sokwe

Anonymous said...

Kumamako zenu...akimwibia mhindi aachiwe...lakini mkiibiana nyie mbwa weusi..kumamama zenu ati mnajiua...washenzi watupu nyie vijizazi vya sokwe

Anonymous said...

Ajari zcwe chanzo cha manufaa kwa wengine.