|
Mkuu wa mkoa wa Mbeya akizungumza na wafanyabiashara wa Tunduma baada ya tukio la ajali ya Moto jana jioni ambapo amewapa pole kutokana na maafa hayo. |
|
Watu wakiokota mabaki ya vitu vilivyoungua kwenye maduka ya eneo la TUNDUMA maarufu kama Mansese
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abas Kandoro akitembelea eneo ambako moto umetekeza maduka katika mji wa Tunduma
|
Moto ukiendelea kuwaka kutokana na ajali iliyotokea jana jioni na kusababisha hasara ya mabilion ya fedha katika mji wa Tunduma wilayani Mbozi(kwa hisani ya Indaba Africa) |
No comments:
Post a Comment