| Waziri mkuu Mizengo Pinda akihutubia katika kilele cha maadhimisho ya miaka 56 ya jumuiya ya wazazi Tanzania na maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru jijini mbeya |
| Waziri mkuu akikaribishwa na mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege Mbeya |
![]() |
| Naye mwandishi wa habari wa gazeti la majira Chares Mwakipesile alisalimiana na waziri mkuu |
| Waziri mkuu Mizengo Pinda akipokea maandamano ya wazazi na wanafunzi waliyohudhuria sherehe hizo |
| Baadhi ya wazazi na waalimu wakipita mbele ya mgeni rasmi |
| Wanafunzi wa shule mbalimbali za mkoa wa mbeya wakipita mbele ya mgeni rasmi |

No comments:
Post a Comment