Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, July 9, 2011

MBUNGE WA MBEYA MJINI MH, JOSEPH MBILINYI AENDELEA KUSOTA LUMANDE

Mh Joseph Mbilinyi akiwa na wafuasi wake  katika moja ya mikutano yake
Kamanda wa Polisi Mkoa WaMbeya Advocate Nyombi Akisisitiza kuwa sheria itachukua mkondo wake kwa sasa wanamhoji Mh, Mbunge  na taratibu zote za dhamana zipo wazi 
Usiku wa jana Baada ya Muheshimiwa Joseph Mbilinyi kukamatwa

No comments: