Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, May 6, 2011

MMASAI WA ULAYA ATUA JIJINI MBEYA

SIKU zote tumezoea kuona namna ambavyo waafrika hasa Watanzania wakiiga mavazi ya ulaya,hili limekuwa ni kinyume cha raia huyu wa kigeni ambaye amekuwa ni kivutio cha aina yake alipokuwa mitaani jijini Mbeya, amethamini chetu kwa kuvaa mavazi ya kabila la Kimasai, ni muhimu nasi tukathamini vyetu.

No comments: