Mwanamuziki
Mahiri wa Nyimbo za Injili Nchini Ndugu, Bahati Bukuku katika Picha
akiwa mwenye Uso wa Simanzi na Majonzi katika Msiba wa Mama yake
Marehemu, Enea Bukuku aliefariki Tar:12,01,2016 na Mazishi kufanyika Leo
Tar:15,01,2016 katika Makaburi ya Mlima James huko Jijini Mbeya.
Mwili wa Marehemu Enea Bukuku ukiingizwa ndani ya Kabuli..
Mwanamuziki
wa Nyimbo za Injili maharufu kwa Jina la Bony Mwaitege akizungumza
jambo kwa niaba ya Wanamuziki wote wa Nyimbo za Injili katika kumfariji
Mwanamuziki mwenzao Ndugu Bahati Bukuku katika kipindi hiki kigumu cha
kumpoteza mamayake Mzazi.
No comments:
Post a Comment