| Katibu Mkuu akiingia Ofisini baada ya kukata utepe katika uzinduzi wa Chuo hicho. |
| Katibu mkuu akiwasili Chuoni hapo tayari kwa uzinduzi wa Chuo Kampasi ya Mbeya. |
| Diwani akiwaongoza wageni kuelekea sehemu ya eneo lililotolewa kwa ajili ya Chuo cha CBE |
| Chifu wa Iganzo Ndele Wilson akisalimiana na katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Musa Uledi. |
| Diwani wa Kata ya Iganzo, Uswege Furika akitoa taarifa kwa Katibu mkuu pamoja na viongozi alioongozana nao kutembelea eneo ambalo limetolewa kwa ajili ya ujenzi wa Chuo. |
| Chifu akizungumza kwa niaba ya wananchi wa mitaa ya Iganzo na Igodima |
| Baadhi ya Wananchi wakimsikiliza Katibu Mkuu wakiwa wamesimama kando kando ya eneo ambalo wamelitoa kwa ajili ya ujenzi wa Chuo. |
No comments:
Post a Comment