Baadhi ya wanafunzi wakiendelea kujiandikisha katika Kitabu cha wageni
Baadhi ya watu wakiendelea kupata Maelekezo ya Jinsi ya kujiunga na Chuo hicho
*******
AFISA MTENDAJI MKUU WA TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY
(TIA) ANAWAKARIBISHA WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDATO
CHA 4, CHA 6, CHETI CHA AWALI, DIPLOMA NA DEGREE YA KWANZA
KUJIUNGA NA KOZI MBALIMBALI KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015 KATIKA KAMPASI ZAKE
ZA DAR ES SALAAM, MBEYA, SINGIDA, MTWARA, MWANZA NA KIGOMA; KAMA IFUATAVYO:
1.
KOZI ZA CHETI CHA AWALI YAANI BASIC TECHNIAN CERTIFICATE – MWAKA 1
Ø BASIC TECHNICIAN
CERTIFICATE IN ACCOUNTANCY
Ø BASIC TECHNICIAN
CERTIFICATE IN PROCUREMENT & LOGISTICS MANAGEMENT
Ø BASIC TECHNICIAN
CERTIFICATE IN BUSINESS ADMINISTRATION
Ø BASIC TECHNICIAN
CERTIFICATE IN HUMAN RESOURSE MANAGEMENT
Ø BASIC TECHNICIAN
CERTIFICATE IN MARKETING & PUBLIC RELATIONS
Ø BASIC TECHNICIAN
CERTIFICATE IN PUBLIC SECTOR ACCOUNTING & FINANCE
2.
KOZI ZA STASHAHADA YAANI DIPLOMA – MIAKA 2
Ø DIPLOMA IN ACCOUNTANCY
Ø DIPLOMA IN PROCUREMENT
& LOGISTICS MANAGEMENT
Ø DIPLOMA IN BUSINESS
ADMINISTRATION
Ø DIPLOMA IN HUMAN
RESOURCE MANAGEMENT
Ø DIPLOMA IN MARKETING
& PUBLIC RELATIONS
Ø DIPLOMA IN PUBLIC
SECTOR ACCOUNTING & FINANCE
3.
KOZI ZA SHAHADA YA KWANZA YAANI BACHELOR DEGREE – MIAKA 3
Ø BACHELOR IN ACCOUNTANCY
Ø BACHELOR IN PROCUREMENT
& LOGISTICS MANAGEMENT
Ø BACHELOR IN BUSINESS
ADMINISTRATION
Ø BACHELOR IN HUMAN RESOURCE
MANAGEMENT
Ø BACHELOR IN
MARKETING & PUBLIC RELATIONS
Ø BACHELOR IN PUBLIC
SECTOR ACCOUNTING & FINANCE
4.
KOZI ZA STASHAHADA YA UZAMILI YAANI POSTGRADUATE DIPLOMA – MIAKA 2
Ø POSTGRADUATE DIPLOMA
IN ACCOUNTANCY
Ø POSTGRADUATE DIPLOMA
IN PROCUREMENT & LOGISTICS MANAGEMENT
SIFA
ZA KUJIUNGA NA KOZI ZA CHETI CHA AWALI:
Ø Mwombaji awe amefaulu angalau masomo 3 kwa kiwango cha alama
“D” au zaidi kwenye mtihani wa kidato cha nne;
Au
Ø Awe na cheti cha mafunzo ya ufundi daraja la pili (NVA 2)
kutoka chuo cha VETA
SIFA
ZA KUJIUNGA NA KOZI ZA STASHAHADA:
Ø Mwombaji awe
na Cheti cha Awali kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na NACTE; Au
Ø Kidato cha
sita mwenye Principal pass 1 au Subsidiaries 2 au zaidi.
SIFA
ZA KUJIUNGA NA BACHELOR DEGREE kupitia TCU/NACTE:
Ø
Mwombaji
awe amemaliza kidato cha Sita mwenye Principal
passes 2 au zaidi ambazo jumla ya alama zake ni 3.5 au zaidi
Ø
Mwombaji
awe na Stashahada (NTA Level 6) kwa
ufaulu wa kiwango cha daraja la Kwanza au la Pili (first & second classes)
SIFA
ZA KUJIUNGA NA BACHELOR DEGREE kupitia TIA (PRE-ENTRY PROGRAMME):
Ø
Kidato
cha Sita mwenye Principal Passes 2 au
zaidi ambaye jumla ya alama zake hazifiki 3.5; Au
Ø
Diploma aliyefaulu kwa kiwango cha
daraja la tatu (Pass).
SIFA
ZA KUJIUNGA NA KOZI ZA STASHAHADA YA UZAMILI:
Ø Mwombaji awe
na Bachelor Degree/Advanced Diploma
kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na TCU/NACTE; Au
Ø Waliopitia
kwenye bodi za fani husika (NBAA/PSPTB) Intermidiate stage au zaidi kwa NBAA na
Proffesional level 3 au zaidi kwa PSPTB.
FOMU ZA
KUJIUNGA NA CHUO ZINAPATIKANA KWENYE TOVUTI YA TAASISI www.tia.ac.tz, ZIRUDISHWE KATIKA KAMPASI ZETU ZA DSM, MBEYA, SINGIDA, MTWARA,
MWANZA NA KIGOMA
Gharama
ya fomu ni sh. 20,000/=
Mwisho wa
kupokea Maombi ni tarehe 30/08/2014
Kwa Mawasiliano zaidi, piga simu namba 0754 376 371 au 0713 376 144 au 0754 772 090
“ELIMU
KWA UFANISI”
USIKOSE KUTEMBELEA BANDA LA TIA NANE NANE MBEYA
No comments:
Post a Comment