Wa kwanza kutoka kushoto ni mmiliki wa mtandao wa Indaba Africa Blog , Dany Tweve akiwa anazungumza jambo baada ya kuchangia msaada kwa ajili ya safari hivyo, hata hivyo Ilasi FM kutoka Mbozi nao wamechangia msaada katika Safari hiyo ambayo inaongozwa na Mbeya yetu Blog. wa kwa
Mzee Richard Kamanga akiwa Amemshika mtoto huku Safari ikiendelea
Kutoka kushoto ni Venance Matinya nae akiwa Safarini kumrejesha Mama aliyejifungua watoto wanne
Wa kwanza kutoka kushoto ni Msimamizi Mkuu wa Mbeya yetu Blog, na Mmoja wa wakurugenzi wa Tone Multimedia Group Joseph Mwaisango akiwa ndiye kiongozi wa Msafara huo kumrudisha mama aliyejifungua watoto wanne.
Picha zote na Mbeya Yetu Blog
Endelea kufuatilia Safari hii inayoendelea .. ikiwa Mbeya yetu Blog ndio wameratibu Safari hiyo.
3 comments:
KAZI NZURI MBEYA YETU BLOG
mungu awazidishie wote mliojitolea kumsaidia huyu dada I hope misaada haitaishia hapa safari ni ndefu sana, kulea mimba si kazi, kazi kulea watoto. nategemea kuja bongo hivi karibuni, nitamtafuta huyu dada nimpe chochote, kama anasimu tafadhali weka # yake kwenye blog. Mdau, Toronto, Ontario
Jamani, najisikia furaha sana kama watanzania tunaguswa kiasi hiki kwa wahitaji. Hongera sana blog ya Mbeya yetu. Hongereni sana wana Mbeya kwa kuutangazia ulimwengu kuwa munaweza kutoa misaada kutoka ndani na si kutegemea kutoka nje. Mungu amrudishie kila mmoja aliyeguswa na hilo. Msiishie hapo, maana mama huyo anahitaji msaada endelevu. Asanteni sana
Post a Comment