Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, November 20, 2012

Wadau waanza kutoa msaada kwa mtoto Aneth,ambaye alikatwa mkono kwa kuchomwa !‏



Mdau akikabidhi zawadi au msaada wa nguo kwa mtoto Aneth, ambapo zilipokelewa na mama yake mzazi, mdau Claudia Haule akimpa pole mtoto Aneth na pia mama yake kwa kuuguza, ambapo pia jamii ya watanzania wameombwa kutoa misaada ya hali na mali kwa mtoto huyu katika kipindi hiki kigumu!

Picha na Mdau Mbeya yetu Blog

1 comment:

Anonymous said...

mie kwakweli nmeguswa sana na huyu mtoto ila tatzo npo musoma je ntamsaidiaje jaman,