![]() |
Kibao kinachoonyesha mtaa wa Mwambenja kulia ndiyo mtaa ambao barabara yake imefutika kutokana na takataka na vichuguu vya nyasi vilivyopo mtaani hapo |
![]() |
Hii ndiyo barabara ya mtaa wa Mwambenja uzunguni Mbeya |
![]() |
Hizi ni takataka zinazotupwa mtaani hapo |
![]() |
Kwa ujumla kipande cha mtaa wa Mwambeja sasa hakina barabara ya uhakika |
No comments:
Post a Comment