Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, April 1, 2012

LIVE ASKOFU CHENGULA AONGOZA MAANDAMANO YA JUMAPILI YA MATAWI JIJINI MBEYA

Askofu wa jimbo la mbeya Evaristo Chengula akiongaza maandamano ya jumapili ya matawi kuelekea kanisa la bikiramaria wa fatima yaani kanisa la hija jijini mbeya





Nako katikati ya jiji la mbeya maandamano ya jumapili ya matawi yanaendelea kuelekea kanisa la Mt. Anthon wa padua jijini mbeya


Kanisa la hija mwanjelwa

No comments: