Katibu mkuu ofisi ya Rais Meneji menti ya utumishi wa uma akimkaribisha mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Abas Kandoro katika mkutano huo.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Kandoro akizungumza wakati wa mkutano huo
Makatibu tawala wa Wilaya wakisikiliza kwa umakini wakati wa mkutano huo
Katika mkutano huo Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Kandoro alifunga mkutano huo kwa niaba ya Waziri wa Nchi ofisi ya Rais menejimenti ya utumishi wa umma Mh. Hawa Ghasia.
No comments:
Post a Comment