| Wanakamati wa harusi hii baadada ya kupewa taarifa yakuingia mitini bi harusi baadhi yao waliangua kilio ukumbini hapo |
| Wazazi wa bwana harusi wakishuusha maombi ukumbini hapo |
| Wazazi na ndugu wa bwana harusi wakiwa mbele ya wageni waalikwa |
| Dada za bwana harusi pamoja na wazazi wakipokea zawadi kwa niaba ya bwana harusi ambaye naye alishindwa kuja ukumbini kwa machungu aliyonayo |
| Baadhi ya waalikwa hawaamini kilichotokea |
| Wapiga picha wapo hoi kwa kucheka |
| Hii ndiyo kadi ya wageni waalikwa waliyoingianayo ukumbini usiku huu HABARI NA KISA CHOTE HIKI KUTAWALETEA KESHO BAADA YA WAHUSIKA WOTE KUONGEANAO |
No comments:
Post a Comment